SautiYako ni blogu ya Kiswahili inayoandikwa na wananchi kwa manufaa ya wananchi. Blogu hii inahusu siasa, elimu, michezo, uchumi na vitu vinginevyo. Inaandikwa na wananchi wa nchi mbalimbali.

Kwa uhitaji wa uandishi au uhariri wa makala mbalimbali unaombwa kuwasilisha makala moja kupitia, barua pepe: contact[at] sautiyako[dot]net.

Tungependa kuwa na blogu ya wananchi kwa ajili ya wananchi, na kwa sababu hiyo, malipo ya makala mbalimbali zitakazowasilishwa na waandishi tofauti tofauti yatatolewa. Malipo ya makala iliyowasilishwa yatategemeana na ubora wa makala hiyo.

Mtu yeyote anayetaka kufanya kazi na sisi anakaribishwa sana kututumia makala zake kupitia barua pepe iliyokwisha andikwa hapo juu.

Tunaomba waandishi wa makala kuhakikisha usahihi wa taarifa wanazozitoa katika makala zao. Pia ni vizuri endapo mwaandishi ataambatanisha picha, videos au sauti zihusuzo makala pamoja na jina lake kamili (japo si lazima kuambatanisha picha au jina la mwandishi husika).

Tags:
About Author: Mzizi