Watoto wa mitaani

Watoto wa mitaani ni watoto wanaotangatanga mitaani kutokana na kukosa eneo maalumu la kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha.

read more

Ugomvi wa wazazi mbele ya watoto ni hatari kwa watoto hao

Katika familia nyingi duniani suala la ugomvi sio kitu cha kushangaza, kwa sababu ni kawaida kwa binadamu wanao kaa pamoja kugombana kutokana na sababu mbalimbali.

read more

Matangazo