Ujielimishe kuhusu afya

Leo Dr. Sajjad Fazel ametuandaalia picha hizi ambazo zipo chini. Tunamshukuru sana ndugu wetu. […]

read more

Kiharusi

Kiharusi ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida.

read more

Ugonjwa wa malaria

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vijidudu viitwavyo plasmodia.Vijidudu vya malaria vikiingia katika mwili wa binadamu huelekea kwenye ini ambako huzaliana na baadaye hujitawanya mwili mzima kupitia mzunguko wa damu.

read more

Ugonjwa wa kipindupindu

Kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria.

read more

Sababu za magonjwa yote ulimwenguni

Ugonjwa ni hali ya kimwili mbali na jeraha ambayo huingiliana na utendaji kazi wa kawaida wa mfumo wa mwili.

read more

´╗┐Sababu sita kwa nini wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake

´╗┐Sababu sita kwa nini wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake.

read more

Umuhimu wa maji kwa binadamu

Maji ni sehemu muhimu kwa kila kiumbe kilicho hai.

read more

Virusi vya UKIMWI

Virusi vya ukimwi ni vijidudu vinavyoshambulia mfumo wa kinga wa binadamu. Virusi hivi huathiri binadamu tu.

read more

Hatua muhimu za utayarishaji wa chakula

Chakula ni muhimu sana kwa binadamu na viumbe vyote duniani, lakini jambo la muhimu linalo takiwa katika suala zima la chakula ni jinsi ya uandaaji wa chakula chenyewe. Uchafu wa chakula huweza kusababishwa na vimelea vya maradhi kutoka katika mazingira, wanyama, wadudu au binadamu.

read more

Matangazo