Hatua muhimu za utayarishaji wa chakula

Chakula ni muhimu sana kwa binadamu na viumbe vyote duniani, lakini jambo la muhimu linalo takiwa katika suala zima la chakula ni jinsi ya uandaaji wa chakula chenyewe. Uchafu wa chakula huweza kusababishwa na vimelea vya maradhi kutoka katika mazingira, wanyama, wadudu au binadamu.

read more

Ugomvi wa wazazi mbele ya watoto ni hatari kwa watoto hao

Katika familia nyingi duniani suala la ugomvi sio kitu cha kushangaza, kwa sababu ni kawaida kwa binadamu wanao kaa pamoja kugombana kutokana na sababu mbalimbali.

read more

Kujaribu ni hatua ya kwanza kuelekea mafanikio yako

Kitendo cha kuchukua hatua na kuanza kufanya jambo ni moja kati ya uamuzi sahihi katika maisha ya mtu yoyote yule duniani. Watu wengi tumekwama hapa, tunahitaji uhakika kwanza.

read more

Mambo ya kuzingatia ya kujenga penzi lako

Maelewano katika mapenzi ni suala linalo kamilisha maisha halisi na maana halisi ya neno mapenzi.Watu wanaoishi kwa amani na furaha katika mapenzi yao wana nafasi kubwa sana ya kufikia malengo yao kama wapenzi kuliko wale wanaoishi katika uhusiano usiokua na maelewano.

read more

Jinsi ya kuchagua mtoto wa kiume au kike

Katika jamii nyingi za kiafrika swala la kutopatikana aina fulani ya watoto huwa ni sababu inayosababisha ndoa nyingi sana kuingia katika mafarakano na hata nyingine kufikia hatua ya kuvunjika eti kisa mama anazaa watoto wa kike tu au anazaa watoto wa kiume tu.

read more

Dhana na utandawizi usiwe chanzo cha vijana kukosa maadili

Kamusi ya Kiswahili sanifu toleo la pili (2010), imeeleza maana ya utandawazi kuwa ni mfumo wa uhusiano wa kimataifa katika nyanja mbalimbali kama biashara, uchumi na siasa.

read more

Mapenzi ya kulazimisha hayadumu

Mapenzi ni kitu kilichoumbwa kwa ustadi wa juu ili kumfanya mwanadamu apate furaha na faraja ya kweli katika moyo wake na yule anayempenda. Ni ukweli usio na shaka kuwa katika maisha ya binadamu yoyote yule mapenzi ni kitu kinachohitajika sana.

read more

Matangazo